Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Wana upungufu wa madini joto ,wengine Wana umaarufu wa mchongo sio wakuwafata kila Jambo ,mwingin anacomment utumbo benders fata upepo nae anatumbukia mwisho anabaki analiaKwema wakuu,
Kwa wale memba maarufu humu wa mda mrefu mnaoheshimika kwenye michango yenu, Kama huna ufahamu wa jambo fulani usiwe unacomeent negative kwenye mabandiko ya watu,
Baadhi ya watu wengine sijui ni uwezo mdogo wao wakiona mtu maarufu kacomment kitu wanamini ni kweli tu nao wanaungana nae ama