Member mpya katika jukwaa-Nawasalimia wakongwe-Igweeeeeee

mfukunyuku

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
12
Reaction score
4
Salaam alaykum,bwana yesu asifiwe,habari,igweeeee,mimi ni mgeni jamii forums,na pia katika jukwaa hili,wakongwe wa jukwaa hili(Smile,lara1,mzabzab,mwanamalundi,Natalia muke ya mudhungu na wengineo naomba baraka zenu,na mnipokee mwenzenu pia ninaehusudu saaana jukwaa hili,IGWEEEEEEEE.
 
Mfukunyuku...na uwe mfukunyungu hasa, nchi inaibiwa na inauzwa.. Ulikuwa umezubaa wapi?...karb sana mkuu
 

Taratibu bwana mbona moto. Unaingia nyumba za watu na mbwembwe! Anyway karibu!
 

Polepole hao uliowataja mmojawapo ni mke wangu. Karibu sana.
 
Igweeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Karibu sana humu MMU! Mimi ndo Mke halali wa Igwe wa hili jamvi. Swali linabakia JE IGWE NI NANI? (Hio ndo homework yako!)
 
We unaonekana ulishakuwepo humu,
Hata hivyo karibu sana hapa ndipo mahali unaweza kupata matumaini ya ukombozi wa nchi yako!!
 
Malizia cv yako. we ni .ke. au .me. Igwee yule yule aliyemwacha mke halali au photocopy. hongera naona Lara 1 mutoto ya tajiri ameamua kukuondoa stress. Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…