Member mpya wenyeji mnikarimu

Member mpya wenyeji mnikarimu

Huku wala huna haja ya kubisha hodi....we ingia tu jimwage kwa raha zako..ukichoka unasepa kimya kimya.

Huku tunaita uwanja wa fujo..kila mwenye ngoma yake anacheza mpaka inapasuka.

Yote yapo humu, ya uongo, ya ukweli, ya uzushi, mapovu, mipasho, mambo hadharani...ali muradi usije tu ukairushia Smart phone/ tablet au Lap top yako ngumi.
Hahahahhaha haiyaa nshaingia
 
Karibu The home of Great thinkers, ila utayoyakuta uvumilie tu maana humu kuna technique ya Ku attack watu na kuwa harass
 
Kama jina langu unavyoliona,ntaanza kukuhunt wewe kwa kuwa ni mgeni
 
Back
Top Bottom