Hahahahhaha haiyaa nshaingiaHuku wala huna haja ya kubisha hodi....we ingia tu jimwage kwa raha zako..ukichoka unasepa kimya kimya.
Huku tunaita uwanja wa fujo..kila mwenye ngoma yake anacheza mpaka inapasuka.
Yote yapo humu, ya uongo, ya ukweli, ya uzushi, mapovu, mipasho, mambo hadharani...ali muradi usije tu ukairushia Smart phone/ tablet au Lap top yako ngumi.
tunaweza kukaribishana PM?Ahsante
Sawa babyKwavile baby eeh [emoji16][emoji16][emoji16] ahsante
Humu kuna couples nyingi sana.Mi naomba uwe wangu kabla hujawahiwa.Ahsante!Mie member mpya naombeni ukarimu wenu, [emoji120] [emoji120]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Humu kuna couples nyingi sana.Mi naomba uwe wangu kabla hujawahiwa.Ahsante!