kili360
Member
- Aug 15, 2017
- 47
- 64
Hodi wanajamiiforum. Mm ni member mpya humu nimependezewa kujiunga kwenye jamii hii ili kupata maarifa na habar mbalimbali kutoka kwa wanajamii. Lakini pia kutoa kile nnachokifaham pale kitakapohitajika . Naomba ushirikiano wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app