Mwanampondasoni Nzokayape
Member
- May 2, 2023
- 54
- 57
Asante Sana mkuuWelcome.
Huwez kuona nafanya hvyo mkuu... Kwanza Mimi n msomaji zaidi kuliko kuandika Mara kwa Mara...Cha muhim usije na nyuzi za kiboya boya.
Maana kwa miaka 12 wewe ni veteran.
Hakika mkuu...
HeeehhBaada ya kua msomaji wa nyuzi mbalimbali kwa takribani miaka 12..Leo kwa hiyari yangu mwenyewe bila kushurutishwa na mtu nimeamua kujiaunga rasmi JF ..
Asante Sana mkuu...lakin unanitisha, mbona Kama umeshangaa hivi...?Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Yeah, unachungulia for 12 yrs?Asante Sana mkuu...lakin unanitisha, mbona Kama umeshangaa hivi...?
Yeah kabisa mkuu...tulikua pamoja kwa siku zote na miaka yote hiyo...Yeah, unachungulia for 12 yrs?
Asante Sana mkuuKaribu sana JamiiForums...
Asante lovie..naona umefurahi kwelikweli...[emoji2957]Karibu[emoji1787][emoji112]
Maisha mafupi ukiweza kufurahi basi furahi 🤣🤣🤣👋Asante lovie..naona umefurahi kwelikweli...[emoji2957]