Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Dūlīhoi nkoyi ahalīnzengo lyenīlī...
Nzūgūdūboneke bopya ūbūgalī
Nzūgūdūboneke bopya ūbūgalī
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia "MUNGU NISAIDIE"!Baada ya kua msomaji wa nyuzi mbalimbali kwa takribani miaka 12..Leo kwa hiyari yangu mwenyewe bila kushurutishwa na mtu nimeamua kujiaunga rasmi JF ..
Watu kazi!Fumba macho tuombe!🙏😜
Baada ya kua msomaji wa nyuzi mbalimbali kwa takribani miaka 12..Leo kwa hiyari yangu mwenyewe bila kushurutishwa na mtu nimeamua kujiaunga rasmi JF .
Acha udesi mkuu [emoji23]Acha unninyaa
Tutajie id yako tu[emoji28][emoji28]
Kweli mama...sikupingiiMaisha mafupi ukiweza kufurahi basi furahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112]
Wa iringa wewe😅😅Acha udesi mkuu [emoji23]
Kweli mkuu...sio kila kitu udanganyeChai
Kwann..?!Wa iringa wewe[emoji28][emoji28]
😊👋Kweli mama...sikupingii
Nahene nkoyi...Mambo galeja???
[emoji120][emoji4][emoji112]
Kabisa mkuu...amenisaidia na ataendelea kunisaidiaMalizia "MUNGU NISAIDIE"!
Karibu sana mkuu.Ila,uwe na kifua.Leo nimekukaribisha.Usishangae baadaye tukagombana kwenye nyuzi.Come karibu!Kabisa mkuu...amenisaidia na ataendelea kunisaidia
Id ndefu kama mkojo wa asubuhi!Karibu mkuu, lakini kwa miaka yote 12 ndio umejifunza kuwa unatakiwa kuja na ID ndefu namna hiyo?.
Hayo ni majina yangu mkuu na tunashauriwa kukubali vya kwetu... Hata hivyo Asante kwa ukaribisho..Karibu mkuu, lakini kwa miaka yote 12 ndio umejifunza kuwa unatakiwa kuja na ID ndefu namna hiyo?.
Daah mkuu..usiwe hvyo..[emoji23]Id ndefu kama mkojo wa asubuhi!
Yaani, unaanzaje kutag ID ndefu hivyo mkuu.Id ndefu kama mkojo wa asubuhi!
Mimi kama mshiriki katika ukaribisho nashauri ujiite nzokayape tu, mambo ya mwanampondasoni yatakukosesha connection humu mkuu.Hayo ni majina yangu mkuu na tunashauriwa kukubali vya kwetu... Hata hivyo Asante kwa ukaribisho..