Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

kilimomaarifatajiri
huyu jamaa anatoa mada nzuri sana za kuelimisha na anajibu maswali vizuri
 
The Boss, Mshana, Pasco ,Mzee Mwana Kijiji, Chief Mkwawa hawa watu nawakubali sana aiseeee.

Kulikuwa na mtu anaitwa Mbuzi Mzee na Boflo na Amavubi hawa nao nawakubali sana kwenye mapicha.

Kuna mtu huwa namkubali sana aiatwa Buchanan ila anachukiwa na watu sana humu, kila uzi anaouanzisha lazima aishie kupewa za uso tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…