Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

The Boss, Mshana, Pasco ,Mzee Mwana Kijiji, Chief Mkwawa hawa watu nawakubali sana aiseeee.

Kulikuwa na mtu anaitwa Mbuzi Mzee na Boflo na Amavubi hawa nao nawakubali sana kwenye mapicha.

Kuna mtu huwa namkubali sana aiatwa Buchanan ila anachukiwa na watu sana humu, kila uzi anaouanzisha lazima aishie kupewa za uso tu
 
Back
Top Bottom