Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salimia Bitoz..Rais wa makapuku na undergrounds JF[emoji4]Najikubali mwenyewe.
Sizzya007
Prime Minister wa serikali ya makapuku😎😎
tuko pamoja mkuuMussolin5 nakukubali sana hasa kwenye zile harakati jamaa upande wa pili wakakupiga mkwara
Mimi najua wengi wananikubali kimya kimya.
Wengi watajwa kukubalika humu huchangia mada zinazohusu watu na matukio. Kwa mtaji huo sidhani wanawakilisha makusudio ya jamvi lenyewe.Lakini wapo members fulani fulani wanaotuvutia zaidi,kwa namna moja au nyingine kupitia uandishi na mada zao,kupitia uchangiaji wao,simulizi zao n.k
Kivyovyote unavyomkubali mkuu haina vigezo sio contest ni kuappreciate tu
I [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Wengine hapa wanalazimika kuwataja watu ili kurahisisha mambo huko PM.......
Basi mtoe membe hapo kwenye avatar analeta kichefchefMi namkubali Lowasa
Kwani Membe na Lowasa hawakai zizi moja[emoji15]Basi mtoe membe hapo kwenye avatar analeta kichefchef
Ulikuwa unataka kuniambia nini mpwa....???I [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Umemsahau Everlyn Salt anga nani Heaven on nn , Uncle Ben , Mzee Raza, Mzee Msasambegu, Nyaka One,GENTAMYCYNE, na wengine mafundi kibao.hivi Kiranga yuko wapi skuizi? maana nimemiss lile yai adhimu.@nyani ngabu nawe skuiz skuskii ukitumia manjonjo ya ile lugha ya malkia iliyokuja kwetu na meli.pia namkubali sana bwana Mohammed Said kwa utafiti wake na jinsi anavyojibu maswali bila jazba hata akitukanwa na wanaomtuhumu kwa udini(hivi kutetea maslahi ya imani yako ndo udini eeh?).kuna @lara1 one of the best storyteller I've ever stumbled upon.Yupo FaizaFoxy a.k.a grammar nazi,CCMs biggest and oldest troll on the interwebs.sjui wanamlipa bei gan huyu bishosti ila kazi aliyotumwa anaifanya kwa weledi.@The boss and mshana jr some of the most active people on the forums.yote kwa yote kila mtu anamchango wake humu tunaowapenda na tusiowapenda.Alaf nlitaka kuwasahau Nifah na warumi wajuvi wa ubuyu wote hot hapa mjini, waliobobea haswa na wenye uzoefu ulotukuka. peace