Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Lakini wapo members fulani fulani wanaotuvutia zaidi,kwa namna moja au nyingine kupitia uandishi na mada zao,kupitia uchangiaji wao,simulizi zao n.k

Kivyovyote unavyomkubali mkuu haina vigezo sio contest ni kuappreciate tu
Wengi watajwa kukubalika humu huchangia mada zinazohusu watu na matukio. Kwa mtaji huo sidhani wanawakilisha makusudio ya jamvi lenyewe.
 
hivi Kiranga yuko wapi skuizi? maana nimemiss lile yai adhimu.@nyani ngabu nawe skuiz skuskii ukitumia manjonjo ya ile lugha ya malkia iliyokuja kwetu na meli.pia namkubali sana bwana Mohammed Said kwa utafiti wake na jinsi anavyojibu maswali bila jazba hata akitukanwa na wanaomtuhumu kwa udini(hivi kutetea maslahi ya imani yako ndo udini eeh?).kuna @lara1 one of the best storyteller I've ever stumbled upon.Yupo FaizaFoxy a.k.a grammar nazi,CCMs biggest and oldest troll on the interwebs.sjui wanamlipa bei gan huyu bishosti ila kazi aliyotumwa anaifanya kwa weledi.@The boss and mshana jr some of the most active people on the forums.yote kwa yote kila mtu anamchango wake humu tunaowapenda na tusiowapenda.Alaf nlitaka kuwasahau Nifah na warumi wajuvi wa ubuyu wote hot hapa mjini, waliobobea haswa na wenye uzoefu ulotukuka. peace
 
Umemsahau Everlyn Salt anga nani Heaven on nn , Uncle Ben , Mzee Raza, Mzee Msasambegu, Nyaka One,GENTAMYCYNE, na wengine mafundi kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…