Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Zeyn

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
344
Reaction score
180
Japo hatuonani kwa sura na wengi wetu wanatumia username feki lakini JamiiForums inatukutanisha kimawazo.

Ni forum ambayo haikosi kitu utakasirika,utacheka,utafurahi n.k
Lakini wapo members fulani fulani wanaotuvutia zaidi,kwa namna moja au nyingine kupitia uandishi na mada zao,kupitia uchangiaji wao,simulizi zao n.k

Binafsi huwa navutiwa na mada za MSHANA JR,Huyu jamaa sijui ni kitu gani asichokijua na ana nyuzi zenye mambo ya tofauti kabisa kwa wale tunaopenda kufungua akili zetu na kujifunza mengi huyu jamaa naamini huwa anatupa hiyo nafasi kupitia threads zake.

Na we tiririka hapa ni member gani huwa anakufurahisha kwa threads zake ama uchangiaji wake ama lolote humu jf?

Tutakuja kwa wale tusiowakubali (hapa ni sisitize bila chuki wala vinyongo ni kwamba tu wale ambao mara nyingi tunatofautiana ki mtazamo ama ki uchangiaji)
 
Mimi najua wengi wananikubali kimya kimya.

"Acha kupiga mayowe wacha wayaone wenyewe"

Though hata mimi huwa nakukubali kiaina kwa yai murua unatisha ila huwa unanishangaza 24hr a day huko hapa kijiweni..! Zile siredi na michango ulizoandika humu tangu ujiunge JF tukiikusanya ni encyclopedia kubwa saana ya biology.

Unamudu vipi mkuu hii?
 
Ha ha ha ha ha!

Nikajua ni mimi peke yangu ninayewaza hiki kitu. Na huwa nasikia huko alipo maisha ni tough kinoma, muda mwingi watu wapo busy na kazi.

LBVS.
 
Ha ha ha ha ha!

Nikajua ni mimi peke yangu ninayewaza hiki kitu. Na huwa nasikia huko alipo maisha ni tough kinoma, muda mwingi watu wapo busy na kazi.

LBVS.

Kwani huwa unasikia mimi niko wapi?
 
Back
Top Bottom