Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Msimuite ite sasa.
Wewe dogo tatizo lako hujui. Mimi Inna nimemuweke disable hawezi kuona mitongozo yangu yote.
Wewe jaribu kwa demu wako uone moto wake
Hebu nielekeze hiyo kitu maana wangu kila nako pita anakujua
 
Nipo kwenye daladala natoka airport natumia jf sioni sababu ya kujificha
 
Mimi nishawahi kuwaona wawili, mmoja nilimsikia akisoma uzi flani wa demiss kwa sauti. Mwingine ni rafiki yangu ila siifahamu id yake humu. Juzi ananiuliza, hivi chelu umewaza nini kuwa verified user? Kwanza ngoja nianze kuangalia miandiko, nitakupata tu mkuu..mwandiko wako naujua
 
Najionaga mimi tu dunia nzima ndio natumia JF member wengine nahisi mpo Pluto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…