Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Naamini mtu akiona uko JF kikubwa atataka kujua id yako
 
Mm siku moja nikiwa pale Maendeleo Bank nlimuona mzee mmoja umri kama miaka 55 hivi yuko kwenye foleni ila anaperuzi JF,

Wakati ule nlimuona anasoma matamko yaliyokuwa yanatolewa na Tundu Lisu.

Ila nliona smartphone ina msumbua kidogo kutumia maana kwa jinsi alivyokuwa ana touch utafikiri anaua chawa!
 
Aahahh watu Jf tunajua kujificha, hata rafiki Yangu niliemshawishi ajiunge na Jf sikumtajia ID yangu.


Lakini ID yake naijua basi namchora kweli mautumbo yake anayo post.
 
Hahahahahahaha lol! Ningekuja kama nakuuliza kitu hivi ila kumbe ni kujua ID yako. Siku moja nilikuwa niko Airport nikamuona mrembo mmoja na lap top yake yumo humu juhudi zangu za kutaka kujua ID yake hazikufua dafu.
Mkuu mm kuna dem namgegeda yuko humu jitihada za kujua id yake hazijafanikiwa maana anaificha zaidi ya Osama alivyokuwa akijificha wakati anatafutwa na Wamarekani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna siku nipo brela nasubiri huduma kulikuwa na jamaa anacheka tu kila akisoma kitu kwenye simu yake (huku anakagua kagua fomu) uzuri walikuwa wawili hawa ma bro mwenzake akamuuliza vipi? Jamaa akamtaja 'Gudume' basi mimi fasta nikazama JF lahaulaa! nkakutana na Uzi wa Gudume nikakausha.

Nikamcheki jamaa bado anajichekesha tu!, ghafla akaanza ku type nikasubiri post mpya nimjue aka post utumbo kinoma tofauti na muonekano wake ata sikuamini na mimi nkamsapoti kwa kum-quote ghafla nkasikia kantaja huku anaongea na mwenzake

Asa kila nkifika ofisi yao nabaki namcheka tu huyu bro wa early 40s maan ana post za ajabu ajabu. Sema uzuri si mtu wa jukwaa la siasa.

[bro wa Brela habari yako?, Mgeni wa Jiji nakusalimu[emoji1538]]
Huyo jamaa namjua dizain anamwili mkubwa kiasi, sindio?
 
Back
Top Bottom