URBAN MONKEY
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 720
- 1,329
Nipo mtaa wa bomani karibu mkuunipo zangu shamba huku kibaya wilayani kiteto naperuzi JF ! Wewe uko wapi ?
Jamaniiiii mi bado mtotooNipo nyuma yako.
Ila chuchi zako hatari sana. Naomba niziguse
Na usinunue gari, utapewa lift na wana JF!Umesahau watu wanaotumia Jf kila mtu ako na gari yake!!!!
Mie natumiaga nikiwa ndani tuuu
Basi nitakulea hadi ufike 18Jamaniiiii mi bado mtotoo
HahahaaaaaaBasi nitakulea hadi ufike 18
Haya jibu ka meseji kangu kule pmHahahaaaaaa
Hao wasomi bora waendelee kutokuujua maana hawakawii kutuchanganya kama kina kitiita mkumbo na Lipumba.Mm popote tu..
Wengi hawaijui jf hadi wasomi..
Mkuu mm kuna dem namgegeda yuko humu jitihada za kujua id yake hazijafanikiwa maana anaificha zaidi ya Osama alivyokuwa akijificha wakati anatafutwa na WamarekaniHahahahahahaha lol! Ningekuja kama nakuuliza kitu hivi ila kumbe ni kujua ID yako. Siku moja nilikuwa niko Airport nikamuona mrembo mmoja na lap top yake yumo humu juhudi zangu za kutaka kujua ID yake hazikufua dafu.
Isije ikawa ni Miss NatafutaMkuu mm kuna dem namgegeda yuko humu jitihada za kujua id yake hazijafanikiwa maana anaificha zaidi ya Osama alivyokuwa akijificha wakati anatafutwa na Wamarekani
Huyo jamaa namjua dizain anamwili mkubwa kiasi, sindio?Kuna siku nipo brela nasubiri huduma kulikuwa na jamaa anacheka tu kila akisoma kitu kwenye simu yake (huku anakagua kagua fomu) uzuri walikuwa wawili hawa ma bro mwenzake akamuuliza vipi? Jamaa akamtaja 'Gudume' basi mimi fasta nikazama JF lahaulaa! nkakutana na Uzi wa Gudume nikakausha.
Nikamcheki jamaa bado anajichekesha tu!, ghafla akaanza ku type nikasubiri post mpya nimjue aka post utumbo kinoma tofauti na muonekano wake ata sikuamini na mimi nkamsapoti kwa kum-quote ghafla nkasikia kantaja huku anaongea na mwenzake
Asa kila nkifika ofisi yao nabaki namcheka tu huyu bro wa early 40s maan ana post za ajabu ajabu. Sema uzuri si mtu wa jukwaa la siasa.
[bro wa Brela habari yako?, Mgeni wa Jiji nakusalimu[emoji1538]]