Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
I'm afraid not.I am discussing about it. Is that not enough?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm afraid not.I am discussing about it. Is that not enough?
Maxence Melo ZeMarcopolo, ndetichia, Mwali, omujubi, Idimi, KakaKiiza na wengineo,Robert Alai ni Mkenya! Amekamatwa kwa sababu ya tweet aliyoandika karibuni ambayo inamtuhumu msemaji mkuu wa serikali ya Kenya kuandaa mipango ya kutaka kumuwa.
Maxence Melo ZeMarcopolo, ndetichia, Mwali, omujubi, Idimi, KakaKiiza na wengineo,
Hizi ndizo tweets alizoandika Alai katika tweeter account yake hapo tarehe 16/08/12 na zimetia taabani.
Robert Alai Robert Alai ‏@RobertAlai
The foolish government spokesman called Alfred Mutua now threatens me and tell me that he will deal with me. #Justice4Karen #WomenLeadership
Robert Alai ‏@RobertAlai
Alfred Mutua and Police Commissioner Mathew Iteere need to act and arrest Allassane Ba ASAP. #Justice4Karen #WomenLeadership
Robert Alai ‏@RobertAlai
You cannot have a foreigner rape a Kenyan then assault her then nobody can do anything. #Justice4Karen #WomenLeadership
Robert Alai ‏@RobertAlai
I have just told Alfred Mutua that one day he will leave that power he is misusing. #Justice4Karen
Robert Alai ‏@RobertAlai
0721240443 is Alfred Mutua's number he is using to threaten me. FOOLISH PIG is drunk with power. #Justice4Karen
Robert Alai ‏@RobertAlai
@owokopollyne The order by RailaOdinga was disobeyed and Iteere ordered the guy be released through Kibuchi. #Justice4Karen
Sasa police kwanini wanamkamata yeye badala ya Mutua. Mtu ukitoa taarifa kuwa maisha yako yametishiwa, wewe ndio unakamatwa au sheria za Kenya zikoje? Au Mutua ameenda kushtaki kwa defemation?
Inabidi mdau aje atupe details akiwa free...
Ngoja nikugeuzie kibao, Mwali wangu. Sasa na wewe umefanya nini katika hili sakata la mdau Alai?I'm afraid not.
Nimeongea nae, yupo salama. Nadhani ataingia JF kueleza kilichotokea na kinachoendelea kutokea.
Binafsi sikutumia maneno makubwa kama "revolution".Ngoja nikugeuzie kibao, Mwali wangu. Sasa na wewe umefanya nini katika hili sakata la mdau Alai?
One of the reasons not to use your real name.
Wanalipiza kisasi cha mkenya wao kukamatwa Tanzania?!!!
Nimeongea nae, yupo salama. Nadhani ataingia JF kueleza kilichotokea na kinachoendelea kutokea.
Kuwekwa kizuizini kwake ni kichocheo cha kushinda kwetu vita ya mageuzi ya kweli kwa serikali za Afrika
fully agree...if some of us were using our real names most of us would be in lock up by now
Haya, sawa!Binafsi sikutumia maneno makubwa kama "revolution".
Ila if I had in mind that this could spring a revolution
(like you seem to think), nadhani ningeanza kukusanya watu
then ningewaambia kua this is not right: nobody should
be jailed for expressing his opinion on something (hata bila ushahidi).
Kila mtu ana takiwa kuwa huru kuesema mawazo yake!
then kama mmoja wetu (great thinkers) akipata shida,
ninge anza thread ya kutafuta ukweli, tujue alisema nini hasa.
then, petition ya kuomba haki zake ziheshimiwe na serikali ya kenya.
kama tunavyoambiwa hapa kila siku kuwa "peleka ushahidi Polisi"!Sasa police kwanini wanamkamata yeye badala ya Mutua. Mtu ukitoa taarifa kuwa maisha yako yametishiwa, wewe ndio unakamatwa au sheria za Kenya zikoje? Au Mutua ameenda kushtaki kwa defemation?
Inabidi mdau aje atupe details akiwa free...