Member wa Kampuni ya Deal No. 1

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
152
Reaction score
196
Watumiaji wa Deal Na 1. Naomba mnisaidie kitu kimoja. Nina Dollar 6 nataka Niongezee zingine 4 ili Ziwe 10 na niendelee kupiga Mkwanja. Sasa Kama Kuna Mtu alishawahi kuweka Hii pesa tuelekezane Wajomba.

Because when balance Inapokuwa kubwa na Commission ina-rise
 
Ama kweli kumbe huwezi kukosa watu wakupiga ukiamua kuwa mpigaji
 
hapa ukianza na dolla10 hela yako itajidouble ndan ya siku 23 ndo unakua na 20usdt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…