Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Hapa kama una couple usitaje mpenzi wako bali tutasemea kuhusu kuvutiwa na member wa kiume kutokana na anavyoshiriki hapa Jukwaani.


Demiss mm nampenda sana huyu member wakuiiitwa Mwifwa kuliko member yeyote wa kiume ila shemeji yenu nampenda kitofautiii maana hamchelewi kumaanisha tofauti[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

View attachment 868790
Hahahahaa I knew it's you. Mwifwa ni mdogo sana sema bolding na italicizing ya maandishi yake inamtofautisha na wengine. Pia yupo smart anachoandika..

Mr .Junio pia yupo smat hongera banaa
 
@Mshana Jr ebu njoo uone unacho fanyiwa huku... [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umemaniisha vibaya hebu soma tena uzi sasa huu uchochezi umeanza lini?
 
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
1537180981871.png
 
Back
Top Bottom