Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Mzima mama, naona umekomaa na baba wa kambo EMTMarahabaa kipenzi changu, mzima weye?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hii tunaita long attack inaweza ikaleta ugomvi kwenye couple za watu
Miiko ya tunguli hiyo...Muulize kwann na utajir wote tunalala kwenye ngoziii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ndio niambie..Sitak kuamini alafu alafu nikwambie?
Babu ebu tulia usije ukamshtue mgamga aanze kutumia silaha za jadi maana tunguli ishapwaya
Wanasema ni ile ile ila hapa upo kwenye chupa mpyahapa nimeona koloni limekufa inatafutwa nchi nyingine, demiss kichaa kweli kweli
Daaa nitaiweza kwel hii Vita [emoji848][emoji848]@Jabesss
Hakika mh mjumbe umesherehesha kwa kiwango cha kimakanikia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]1. Nikiingia tu kwenye uzi wako nakutana na Back ground ya bluu ikikuzwa na kitop matata kilichoshikilia mtindi mzito gram 300 chini kukiwa na urefu wa kitovu muruwaaaaa.. Suruari nyeusi iliyobana vilivyo kuonyesha namba nane iliyoshiba unono ni utambulisho thabiti wa chamdeko's avatar .
2. Uzi wako unadakwa mapema na kushambuliwa kama mpira wa kona...kigori Wewe ukidaka murua mashambulizi yao ndani Ya sekunde chache. Huyu ni Mrs Jr mwenyewee[emoji2]
3. Mahaba, malovedove, Kunjunjana na mtifuo wa huba havikupiti Mama chamdeko. Yaani chochote kuhusu hivi vinne unatumalizaga kwa kweli... You always locked the road.
4. I knew it's youuu... Ukiona nimecoment hiviii ujue cjaangalia lakini nakisia utakuwa wewe tuu mtawala mchezo....yes is you,it's youu, suree you Will be youuuuuhhhh oooohhhh!!! Mama Mganga.
5. Mwisho kabisaaa them ya post zako, tittle na ongezeko LA comments kila baada Ya sekunde. Angalia hii nmecoment kwenye page ya 27. Nilipoivuta nkajikuta naangukia page 28 aiseee Wewe ni wewe tuuuuu
Mrs. Sangoma herself mwaaaahhhhhhh.
Nishanasa kwa mke wa mganga hapa, hapo unadhani nakimbia kumbe nipo kwenye ungo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kimbia uvunjike miguu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishanasa kwa mke wa mganga hapa, hapo unadhani nakimbia kumbe nipo kwenye ungo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kabisaaa boss tumetusua ki accacia [emoji2] [emoji2]Hakika mh mjumbe umesherehesha kwa kiwango cha kimakanikia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anatafuta koloni la mjerumani baada ya Mwingereza kufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]