Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba unatafuta uwanja wa kutuanika eenitawataja siku nyingine..ila nawe upo
Ujitahidi upunguze forbbiden gap na uongeze temperatureAaha haah namfanyia doping tu leo lazma awe extrinsic leo
Dahh. !! Umenikumbusha kuku wa mwanga bar, mji mpya Dodoma. Ni sehemu yangu ya kula niwapo DomKavukavu kama kuku choma za Mwanga bar
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kwamba unatafuta uwanja wa kutuanika ee
dah nmekumbuka meissner effect " expulsion of magnetic field from super conductor during its transitiom to super conducting state ...mambo ya kina meissner na robert oschenfeld ... Majamaa walimeasure mgnetic field distribution outside superconducting tin and lead samples waka cool below their super conducting temperature "Ujitahidi upunguze forbbiden gap na uongeze temperature
Physics tamu sana ukiielewa lakini kwenye pepa[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]dah nmekumbuka meissner effect " expulsion of magnetic field from super conductor during its transitiom to super conducting state ...mambo ya kina meissner na robert oschenfeld ... Majamaa walimeasure mgnetic field distribution outside superconducting tin and lead samples waka cool below their super conducting temperature "
Dah aisee mkuu naipenda sana physics
Watu wananionaga mi chizi humu ndan ila hahaha aisee ... Sina neno ... Swalehe leo nampikia wali mkuu na kachumbari
Ngoja nisubiri hilo tukiohahaha..haswaaa nitawafungulia na Uzi kabisa
Sijawah feli physics mkuu ... Dah ...nilikua sipend kusoma kwa mashndano maana nljua ntawaumiza tu washkaji... Na wao walielewa ... Hahaha dah ilifikia stage Calculation zlzonshnda mchana ... Nkilala naota nazsolve ... Na napta true solution nkishtuka tu naziandka .... " ushawah ota unacheza na mitochondria mkuuPhysics tamu sana ukiielewa lakini kwenye pepa[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hvi we hunpend ?hahaha..haswaaa nitawafungulia na Uzi kabisa
haaaaa yan nna hasira!bora nitafute wine niifundeeeeHahahahha pole sana nakupa pole kama zoteeee
alafu sijawah ionja ujue!vip tamu?Imagi ndo habar ya mjini
[emoji17] [emoji22] [emoji22] [emoji22] but why[emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Sijawah feli physics mkuu ... Dah ...nilikua sipend kusoma kwa mashndano maana nljua ntawaumiza tu washkaji... Na wao walielewa ... Hahaha dah ilifikia stage Calculation zlzonshnda mchana ... Nkilala naota nazsolve ... Na napta true solution nkishtuka tu naziandka .... " ushawah ota unacheza na mitochondria mkuu
Nahisi sijiwezi bila Sultan G wangu ,roho yangu,mpenzi wangu,raha yangu,furaha yanguNiljua tu huwezi kuishi bila shem darling wangu G