Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Ndo maana nimekuitaa yani nikiona comment yako kwenye uzi wangu huwa napata bichwaaaaaa

Ahsante sana, ahsante sana.

Mi sina mashauzi (nikiwa kwenye mood ya kutokuwa na mashauzi) na nazidisha upendo zaidi nikitembelea mitaa ya huku.

Ila mitaa yetu ya jioni kisomo ni ubishi wa Kamikaze na Jiu-Jitsu moves kwenda mbele.

Get together December utaenda?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]


Umenikumbusha kuna mshikaji nilipokuwa form 1 yeye alikuwa form 4.

Alikuwa anapiga msuli mzito hadi ikafikia hatua akiwa amelala anaanza kuota tena kwa sauti anaelezea macalcutions ya maswali...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsante sana, ahsante sana.

Mi sina mashauzi (nikiwa kwenye mood ya kutokuwa na mashauzi) na nazidisha upendo zaidi nikitembelea mitaa ya huku.

Ila mitaa yetu ya jioni kisomo ni ubishi wa Kamikaze na Jiu-Jitsu moves kwenda mbele.

Get together December utaenda?
Huwa nikiona koment yako namshukuru mungu kwamba bado upo hai
 
Hapa kama una couple usitaje mpenzi wako bali tutasemea kuhusu kuvutiwa na member wa kiume kutokana na anavyoshiriki hapa Jukwaani.


Demiss mm nampenda sana huyu member wakuiiitwa Mwifwa kuliko member yeyote wa kiume ila shemeji yenu nampenda kitofautiii maana hamchelewi kumaanisha tofauti[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

View attachment 868790
Anastahili na bebi face yake! Najua mtaa wa pili walikuwa wanasubiri kwa hamu reply yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....

Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....

Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]gusa unase
 
Back
Top Bottom