Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nimekuitaa yani nikiona comment yako kwenye uzi wangu huwa napata bichwaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Umenikumbusha kuna mshikaji nilipokuwa form 1 yeye alikuwa form 4.
Alikuwa anapiga msuli mzito hadi ikafikia hatua akiwa amelala anaanza kuota tena kwa sauti anaelezea macalcutions ya maswali...
Usipate tabu, nitamwomba ruhusa mzee wa tunguli. asije kunigeuza mbuzi jike.. [emoji851][emoji851]Ukija tutaendaaa
Huwa nikiona koment yako namshukuru mungu kwamba bado upo haiAhsante sana, ahsante sana.
Mi sina mashauzi (nikiwa kwenye mood ya kutokuwa na mashauzi) na nazidisha upendo zaidi nikitembelea mitaa ya huku.
Ila mitaa yetu ya jioni kisomo ni ubishi wa Kamikaze na Jiu-Jitsu moves kwenda mbele.
Get together December utaenda?
Anastahili na bebi face yake! Najua mtaa wa pili walikuwa wanasubiri kwa hamu reply yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa kama una couple usitaje mpenzi wako bali tutasemea kuhusu kuvutiwa na member wa kiume kutokana na anavyoshiriki hapa Jukwaani.
Demiss mm nampenda sana huyu member wakuiiitwa Mwifwa kuliko member yeyote wa kiume ila shemeji yenu nampenda kitofautiii maana hamchelewi kumaanisha tofauti[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
View attachment 868790
Ahahahhahahaha acha kabisaaKiboko yakeeeeee msomali wanguuu haupumui haunyambiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23]gusa unaseSiamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....
Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....
Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]