Mkuu Hongera sana!Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi..... Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nilikuwa nakula kwa macho kwa muda mrefu hatimaye mbuzi kafia kwa muuza supu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku njema huonekana asubuhi ila hii imeonekana mchana kwa kuwa ni mapinduzi ya tunguli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bahati ya pekee hii rafiki.
Na usikinai pia..Tena sanaaaaa msomaji nisichokee[emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hii vita nitakuwa refaSiku njema huonekana asubuhi ila hii imeonekana mchana kwa kuwa ni mapinduzi ya tunguli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siioni dalili ya kukinai kwa kweli[emoji5][emoji5][emoji5]Na usikinai pia..
Subiri anayekupenda anakujaKwahiyo mimi sipendwi
Angalia usije ukakwama kisa ile mitambo ya Russia inafanya kazi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hii vita nitakuwa refa