Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mkuu Hongera sana!Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi..... Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]