Amka utoke ulione jua hizo akili zikae sawa asee manake hapa unaongea ugoro tuBado sijaondoka nilipolala hadi muda huu ujue.
Nimeshtuka nikakimbilia humu kuona yaliyojiri kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji108]Nakazia
Sura ya kuamka unaijua wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amka utoke ulione jua hizo akili zikae sawa asee manake hapa unaongea ugoro tu
NalegezaaNakazia
Haishindikani manake naona anakwenda hovyohovyo tuLabda bado yupo ndotoni
Nini hiyo hailegei[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hailegeiiii sasa
Basi ngoja niende mrama[emoji4] [emoji4] [emoji4]Haishindikani manake naona anakwenda hovyohovyo tu
Hehehehe amedata kabisa itakua ameenda kuoga atarudi na akili ya leoleo manake kichwani mwake kulikua na kiporoNimeshangaaa sana sijui amelewa kupendwa Jf
Kupendwa na mtoto mbichi ni sawa na kumiliki madolariii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeshangaaa sana sijui amelewa kupendwa Jf
Kumbe ulikuwa bado hujajua[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeanzaaa ujue
Nipo hapa wala sijaondokaHehehehe amedata kabisa itakua ameenda kuoga atarudi na akili ya leoleo manake kichwani mwake kulikua na kiporo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siyo komboo kabisaaa