Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Amka utoke ulione jua hizo akili zikae sawa asee manake hapa unaongea ugoro tu
Sura ya kuamka unaijua wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na isitoshe muda huu watu wamejaa kibarazani.....
 
Kupendwa na mtoto mbichi ni sawa na kumiliki madolariii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upendo wa Agape naona unaenda mbali[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom