Mke wa mganga ataweka breki ya kukinaisha wala usijaliSiioni dalili ya kukinai kwa kweli[emoji5][emoji5][emoji5]
Ule kabisa ushibe mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Soma vizur uzi acha uchochez[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hahahaha dada unakiuka mashart ujue hapa namuwaza Mama Sabrina atakavyopinga hili suala na G wakeeeNampenda MO11 kivyotevyote yaani, ndani na nje ya jf. Kunikataza sio vizuri ujue.
Hata haihitaji chumvi kutafuna hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23]haahhahaah rangi ya mtume mashalaaah si wajua tena binti mbichi woiiiii
Umecheka nini mpwa!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaa nimecheka
Mtaje tu mkuu!!!Page ya 4 hii na mpk sasa wng hajajitokeza!
Tena zenye maudhui ambayo hayana mwisho na yanayohitaji ufuatiliaji ili mtu ajue hatima ya mwisho wakeHahahha zisilete ugomvi
Page ya 4 hii na mpk sasa wng hajajitokeza!
Huko kwenu mnatumia tunguli au kitabu?Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....
Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....
Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]