Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikilizia tu nione jinsi utakavyohamisha magoli[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mburaaaaaaaah jipe moyoo
Hahahahha ewaaah hata mm nikataka kukimbia kutoka dom mpaka huko nalinjilinji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nije nikuzooom kwa karibu mpwaa maaana umejua kunichekesha leooooMpwa we acha tu....
Yaani vijana walishaanza kunitazama kwa jicho la kimombasa
Kuna kale ka wimbo ka "manfongo" kuhusu mashemeji, nakapendaga sana mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....
Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....
Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ngoja tuone, ila usije ukatuacha midomo wazi pindi utakapotajwamimi nina nyota ya makaa ya mawe yaani hakuna atakaye nitaja kwenye list 😀😀😀😀
Nachekaa huku nasema hiiiii hiiiiiii hiiiiiiiiiiUnachekaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena bila kishushioKavukavu kama kuku choma za Mwanga bar