Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Mpwa we acha tu....

Yaani vijana walishaanza kunitazama kwa jicho la kimombasa
Hahahahha ewaaah hata mm nikataka kukimbia kutoka dom mpaka huko nalinjilinji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nije nikuzooom kwa karibu mpwaa maaana umejua kunichekesha leoooo
 
Kuna kale ka wimbo ka "manfongo" kuhusu mashemeji, nakapendaga sana mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Unachekaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachekaa huku nasema hiiiii hiiiiiii hiiiiiiiiii

Leo imefia kwa muuza supu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…