Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Mmmmh! Waswahili wanasema "kataa neno.... uskatae wito....." lakini huko nlikoitwa Mmmmmh.... yani ni kama nione missed call ya kidoti..... lazima mwili upatwe na homa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu bora wewe hujatajwa.... shukuru sana.... Mi nimetajwa na kidoti..... hapa yanagonga, yanarudi! Chochote utakachoskia kimenipata ujue chanzo ndio hicho!
Hahahahha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa umepata bahat bado pressure juuujuuuu why?
 
Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....

Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....

Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ndugu mjumbe, naona bahati imekuangukia.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yaani umeokota dodo chini ya mchongoma....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom