[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmh! Waswahili wanasema "kataa neno.... uskatae wito....." lakini huko nlikoitwa Mmmmmh.... yani ni kama nione missed call ya kidoti..... lazima mwili upatwe na homa!
Hahahahha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa umepata bahat bado pressure juuujuuuu why?Mkuu bora wewe hujatajwa.... shukuru sana.... Mi nimetajwa na kidoti..... hapa yanagonga, yanarudi! Chochote utakachoskia kimenipata ujue chanzo ndio hicho!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitajwa na ambaye hana chura, itakuwaje?
wewe hunipendi.... kwa kweli nimeamini....Homa ya dengue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati hiyo
Hahahahha hakika leo kuna vita inanukia
Ndugu mjumbe, naona bahati imekuangukia.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....
Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....
Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
hii sio bahati.... ni msala.... labda yule uliemhonga juzi afanye mbinu mbadala.... la sivyo.... yatankuta!Hahahahha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa umepata bahat bado pressure juuujuuuu why?
Bila shaka PM hautaibadilishaHahahah nakwambia ukipanda tu kimbinyiko nabadilisha laini
Nitaje tu hata mimi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Naogopa nisije nikataja wa mtu nikaanza kununiwa
Ile ya mcheSabuni ya omo au gwanjuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Dengue namdengulia tu, ngoma inakuwa droo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Homa ya dengue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati hiyo