Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah id yangu ni mhimu kuliko sifa za chitchatHahahah nakuonea huruma basi nikupe id yanguuu
Kulia tuuuUnataka kulia sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiogope ni chakawaida sana ila kwa wewe hakitakufaaNn tena jaman
nimechekaDaah sjui lini na mm nitatajwa na mdada hapa jf
Anyway sku hazifanani
Haha hapana demis mm ni kaserengeti boy sijafika 30 ila bdo 3 year tu nitimie age hioUnajua mm kuna muda huwa nakuweka kwenye age ya 30 na kuendelea ila comment zako zinakurudisha chini ya 25 hapo huwa unanochanganya
Kuna mtu nikimwoma hapa ndio nitamwambia bado sijamwonaNichombeze tu basiii
Mapepo yako ya ngono yamehama kwa kalimanzira siku hizi.Hapa kama una couple usitaje mpenzi wako bali tutasemea kuhusu kuvutiwa na member wa kiume kutokana na anavyoshiriki hapa Jukwaani.
Demiss mm nampenda sana huyu member wakuiiitwa Mwifwa kuliko member yeyote wa kiume ila shemeji yenu nampenda kitofautiii maana hamchelewi kumaanisha tofauti[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
View attachment 868790