Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Ahhaahhaha ulijua eti tukinao chefuuuu
Ila tunaenda kuzeeka [emoji23][emoji23]

Mwenzio nasubiria sultan kwa hamuuu
Hata mm nimekaa tu seblen nachat ikifika midaa leo nachek kwa Tv sm leo pembeni

Hahahhaha ila Mama G nakuombea usiwe bitukinao nitakucheka cheko kama zoteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom