Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Hata mm nimekaa tu seblen nachat ikifika midaa leo nachek kwa Tv sm leo pembeni

Hahahhaha ila Mama G nakuombea usiwe bitukinao nitakucheka cheko kama zoteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
Hahahahahaah
Tutachekana maana ntakuwa nakupitia tukavute ugoro na vifimbo vyetu
 
Mganga kashatia timu hapa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wenzako wanaomba ruhusa kwanza, unaweza kugeuzwa demu ukawa unashinda ohio, ohooooo [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Back
Top Bottom