Member wanaoongoza kutoa Like JF.

Idiot Embicile

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2019
Posts
1,037
Reaction score
1,974
JF kuna kila aina ya maraia wanao toa michango ya nguvu,wababaishaji na wachekeshaji.Hivyo members hutoa like kwa aliyewagusa Kwenye wanaocoment.

Hivyo hili bandiko ni kutoa heshima kwa members hawa kwa sababu wanaongoza kutoa likes.

1. @Mwifa
2. GODZILLA

Hawa madingidee ni kisanga kwa malaikide arifu.


Kama kawaida ya mabandiko yangu ya Chitchat JF huwa sitaki comment.Mimi nawapa taarifa tu, kisha unapita kimya Kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…