Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nini mbaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini mbaya?
Ulitakaje etiHalafu wewe sisitalake nilikuwanga nakuona unaelewa mapema.
Sasa hujaelewa nini kusema usicomment?
Mwifa na GODZILA haujakosea!
Japo kuna raia wengine humu akitoa like moja ni kama wametoa like watu sita.
Mfano huyu miminimkulimaakachekasana
akiweka like kama vile wameweka watu 6, kumbe ni jamaa tu yuko zake buza.
Kuna huyu anajiita Ambiele Kiviele na
Rooney
Halafu Mwifwa aki 'like' komenti yako usifikiri umeandika bonge la point, hata ukiandika mataputapu yeye ana 'like' tu.
Nmekuongezea ingine 🤣🤣🤣
Asante 😂 😂 😂Nmekuongezea ingine 🤣🤣🤣
Huyo Godzilla anapenda sana mambo ya ushoga.JF kuna kila aina ya maraia wanao toa michango ya nguvu,wababaishaji na wachekeshaji.Hivyo members hutoa like kwa aliyewagusa Kwenye wanaocoment.
Hivyo hili bandiko ni kutoa heshima kwa members hawa kwa sababu wanaongoza kutoa likes.
1. @Mwifa
2. GODZILLA
Hawa madingidee ni kisanga kwa malaikide arifu.
Kama kawaida ya mabandiko yangu ya Chitchat JF huwa sitaki comment.Mimi nawapa taarifa tu, kisha unapita kimya Kimya.
NaumwaNini mbaya?
Pole sana baba bulubendi, get well soon.Naumwa
Asante aiseePole sana baba bulubendi, get well soon.
Tafuta mganga akugange Sasa!Asante aisee
Kweli kabisa mganga hajigangi
unataka nini sasa Athumani kichwawazi au?Jamani huu uzi hauhitaji comment.Kila bandiko langu la chitichatenga huwa nasema sitaki comment.