Member wengi walioko JF ambao hawajaweka avatar hawajui ku-upload

Mwakapesa II

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
554
Reaction score
915
Member wengi waliopo Jf ambao hawajaweka avator hawajui kuapload.

Yeah ndivyo ilivyo kama unabisha andamana mpaka ofisi ya wazri mkuu
 
wengine wanatumia itel so huwezi jua
 
Hahahahaaaaaaa don't believe everything you see, wengine tunatumia simu and it's processes(uploading) too long to wait
 
Why put avatar while 98% are fake,
🆔 are fake,
comments are fake, breaking news are fake, somebody writes "Tetesi" on heading ndani anaandika "rasmi"
 
Tuelekeze basi mdau,hata wewe kabla ya kujua ulikuwa hujui.
Na kuna vitu tunajua wewe hujui.
So it's not a big deal.
 
kuna member mmoja alinidharau eti kwakuwa tu sipajui palm beach na hii ni baada tu ya kuomba kuelekezwa
 
Usikute wewe kujua ku-upload Avatar unajiona Bonge la mjaaaaaaanja kumbe hakuna kitu.
 
kuna member mmoja alinidharau eti kwakuwa tu sipajui palm beach na hii ni baada tu ya kuomba kuelekezwa

Huwa nawashangaa sana watu wa hivyo.. kwakua yeye anajua kitu fulani basi kwa mwingine anaona ni mshamba kumbe huyo anaye muona hajui naye kuna vitu anavifahamu wewe hujui..
Nilivyokuwa mdogo nikisikia mtu amesoma mpaka akawa Proffesor basi niliamini anajua kila kitu. Kumbe ni kinyume kabisa.. coz Proffessor wa Uchumi hawezi kuongea masuala say ya umeme hata kwa mwenye diploma tu ya umeme.
Tunatofautiana na ndio maana maisha yanaenda.
 
Sio muhimu kuweka avatar. Tunataka hoja zenye mshiko.
 
Member wengi waliopo Jf ambao hawajaweka avator hawajui kuapload.

Yeah ndivyo ilivyo kama unabisha andamana mpaka ofisi ya wazri mkuu

ni kweli mkuu mi pia mmoja wao na nnaomba msaada maana mficha uchi....
 
Huwa nawashangaa sana watu wa hivyo.. kwakua yeye anajua kitu fulani basi kwa mwingine anaona ni mshamba kumbe huyo anaye muona hajui naye kuna vitu anavifahamu wewe hujui..
Nilivyokuwa mdogo nikisikia mtu amesoma mpaka akawa Proffesor basi niliamini anajua kila kitu. Kumbe ni kinyume kabisa.. coz Proffessor wa Uchumi hawezi kuongea masuala say ya umeme hata kwa mwenye diploma tu ya umeme.
Tunatofautiana na ndio maana maisha yanaenda.

akanambia eti kukaa kote mjini hupajui palm beach, hahahaha nilicheka sana
 
Back
Top Bottom