Member wengi walioko JF ambao hawajaweka avatar hawajui ku-upload

Member wengi walioko JF ambao hawajaweka avatar hawajui ku-upload

akanambia eti kukaa kote mjini hupajui palm beach, hahahaha nilicheka sana

ahahahahaa....alisema uende na taxi ndo kutanoga halafu kurudi hata kwa mguu tu utafika
By peterchoka :
kama natokea manzese nipande gari gani wakuu
wangu? thanks in advance

Palm beach pananoga ukienda na Taxi ila ukiwa
unarudi Kwenu Manzese si vibaya hata ukirudi
kwa Guta au kutembea na Tz 11 yako
 
hawa watu wa kujiunga mwaka huu ni shida
 
Member wengi waliopo Jf ambao hawajaweka avator hawajui kuapload.

Aisee na mimi n mmojawapo wa member waliojiunga hv karibun bt nmesoma malalamiko yako labda nikute suluhu siioni zaidi kulalamika....personally natumia cmu na Avatar walah c jui.....Avatar n nn! Inahitaji kufanya nn kuipata na umuhimu wake ni nni!
 
ahahahahaa....alisema uende na taxi ndo kutanoga halafu kurudi hata kwa mguu tu utafika
By peterchoka :
kama natokea manzese nipande gari gani wakuu
wangu? thanks in advance

Palm beach pananoga ukienda na Taxi ila ukiwa
unarudi Kwenu Manzese si vibaya hata ukirudi
kwa Guta au kutembea na Tz 11 yako

yaani kupajua hapo mwenyewe ndo kaona kamalizg dah!!!!! ila nilifika fresh tu
 
Mpenda sifa utamjua tu hata akifichwa ndani ya chupa ataanyoosha kidole ili watu wajue yupo
 
Back
Top Bottom