Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 554
- 915
yeah ndivyo ilivyo kama unabisha andamana mpaka ofisi ya wazri mkuu..
Nisaidie jombaa
Why put avatar while 98% are fake,
🆔 are fake,
comments are fake, breaking news are fake, somebody writes "Tetesi" on heading ndani anaandika "rasmi"
Tuelekeze basi mdau,hata wewe kabla ya kujua ulikuwa hujui.
Na kuna vitu tunajua wewe hujui.
So it's not a big deal.
kuna member mmoja alinidharau eti kwakuwa tu sipajui palm beach na hii ni baada tu ya kuomba kuelekezwa
Member wengi waliopo Jf ambao hawajaweka avator hawajui kuapload.
Yeah ndivyo ilivyo kama unabisha andamana mpaka ofisi ya wazri mkuu
Huwa nawashangaa sana watu wa hivyo.. kwakua yeye anajua kitu fulani basi kwa mwingine anaona ni mshamba kumbe huyo anaye muona hajui naye kuna vitu anavifahamu wewe hujui..
Nilivyokuwa mdogo nikisikia mtu amesoma mpaka akawa Proffesor basi niliamini anajua kila kitu. Kumbe ni kinyume kabisa.. coz Proffessor wa Uchumi hawezi kuongea masuala say ya umeme hata kwa mwenye diploma tu ya umeme.
Tunatofautiana na ndio maana maisha yanaenda.
akanambia eti kukaa kote mjini hupajui palm beach, hahahaha nilicheka sana