πππ Ndiooo.Aah mkuu
Hahahaaa. Ina nini?Sura ya baba
Hahahaaa. Lol.Ya kibanditu kinyama akikohoa tu nahama eneo
Mbao za mawe [emoji58]
Na wadada waliaoweka avatar chura ndo flat screen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me naongea kinyume sasa...wakaka walioweka avatar sura mbaya kiuhalisia ndo mahandsome!
Umemsahau Behaviourist[emoji848] [emoji848] Gudume, Zero IQ nadhani hawa viumbe sura zao ni za ajabu.
Insta babe nimecheka mpaka nimekaa itakuwa double tree ya wapi hiyo znz au masaki ebu muulize huyo mdadainsta babe muogope mungu [emoji23][emoji23][emoji23]
alafu ile post ya jana pale ndio double tree au... maana me naona nyota nyota tu...
insta babe we sio mtu wa mchezo mchezo ujue [emoji23][emoji23]
πππππ ile itakuwa ya masaki ileInsta babe nimecheka mpaka nimekaa itakuwa double tree ya wapi hiyo znz au masaki ebu muulize huyo mdada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile itakuwa ya masaki ile
leo nipo na avatar najaribu kufananisha na yule wa double tree [emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nakubaliana na wewe gudume anasura nzito[emoji848] [emoji848] Gudume, Zero IQ nadhani hawa viumbe sura zao ni za ajabu.
insta babe bhana πππ eti unaiba wakati ndio ww mwenyewHahahahah kuiba avatar za watu uko nikiziona ndio zinaniponza kama hivi insta babe