Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Muda sasa ndio haupo Baba TecnoKaangilie movie ya machete utaona
Tutawaanzishia jukwaa lenu, kuweni wapoleNa sisi wenye sura za baba zetu tunacomment wapi eti
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]nipo dada majukumu yataniua
asante mdogo wangu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Pole sana Dada yangu
Bila shaka mzima wa Afya...asante mdogo wangu
Na wadada walioweka picha nzuri nzuri je???[emoji18]Me naongea kinyume sasa...wakaka walioweka avatar sura mbaya kiuhalisia ndo mahandsome!
kher InshaallahBila shaka mzima wa Afya...
Ni jambo la kumshukuru Mungu sana..kher Inshaallah
Hahahaaaa. Hebu niache Baba Tecno.Sema tatizo chaji
usijali dad nishamwendea hewani anakujaHahahaaaa. Akija nitag mdogo wangu aje anambie jamaani.
Ewaaaaaaaa. Haya tumsubirie sasa.usijali dad nishamwendea hewani anakuja
atakuja now nowEwaaaaaaaa. Haya tumsubirie sasa.
Mmecheka mdogo wangu eti now now. 😂😂😂😂😂atakuja now now