Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Etieeh' ndivyo alivyokulaghai!??Bado harusiwi kutoka usiku kwa umri wake
Badooo huyu.Twende wenyewe tuEtieeh' ndivyo alivyokulaghai!??
twende wenyewe??? Kwani me phaller???Badooo huyu.Twende wenyewe tu
Wewe sio phaller.Ma phaller kukesha hawawezi..twende wenyewe??? Kwani me phaller???
Nimeolewa na Niko na watoto wa5
Ohh hongera Sana mama la mamaNimeolewa na Niko na watoto wa5
ndio huwa mnanisema hivi nisipokuwepo Data Manager 😁 na siamini carly kama una ujasiri wa kusupport invasion of my privacy tena hadharani kiasi hikiUbarikiwe na Bwana kwa kuuliza suala mtambuka kama hili..!!
penye uzia penyeza rupia 😊Ayayayaya!!!wewe unatoa wap guts za kunipa ?!
Ndio yule W? Mchizi anamwaga mvua za matusi sio haba.Yupo humu ila sio kwa hilo jina tena
YesNdio yule W? Mchizi anamwaga mvua za matusi sio haba.
Mkuu hivi hiyo avatar ni picha yako halisi?