Member yupi ungependa umuulize swali? Uliza aje akujibu

Member yupi ungependa umuulize swali? Uliza aje akujibu

Nataka kumuuliza bwana Mshana Jr je inawezekana macho yakashuhudia kuona jambo ambalo sio rahisi kueleweka ukimweleza mtu kwa mdomo ukichokishuhudia kwa macho?
 
Ntahakikisha nakufungulisha uzi na nakupigisha ban hakuna cha mitano hapa.😅
🤣🤣Heeee utasubiri Sana Mimi ni mpole usinifundishe ukorofi 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️
 
Mimi naomba nijue huyu ni nani?View attachment 1863355View attachment 1863356
Screenshot_20210722-163128.jpg
 
Back
Top Bottom