Members naomba kuja, utando mweupe ukeni ni ugonjwa au

Hup utoko mweupe Ni ishara ya mabadiliko ya acidity ukeni yanayoweza pelekea fangasi na UTI.

Hili tatizo linatibiwa bure kwa kumpa chai ya mchai chai mwingi

Au

Anunue baking powder (Ile ya SIMBA) sh. 500 akoroge nusu kijiko kwa glass moja ya maji asbh, Jion na usiku kwa wiki 1 utaona utoko wote unapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa somo baba mama j
 
Back
Top Bottom