Members 'ninaowakubali' zaidi humu jf

Hiyo ni kweli kabsa. Ndio maana mwshoni nikasema wapo wengi ila hao ni baadhi. Nadhan ata ww kuna baadhi ukikutana na michango yao unawakubalu sana.

Mfano mm nikiingia jf nikakutana na mada imeandikwa na mshana jr au The Bold lazma niisome

Kuna watu nikiingia nikakuta wamepost kitu na like kwanza ndio naanza kusoma ili baadae nitoe maoni yangu.
 
Kuna watu nikiingia nikakuta wamepost kitu na like kwanza ndio naanza kusoma ili baadae nitoe maoni yangu.
Uki like kwanza maana yake unawakubali zaidi na huwez kukuta wamekuangusha. Hawa ndo tunataka sasa watambue kwmb tunawakubali.
 
I'm humbled mkuu
 
Ni vzuri lakini ni vzur zaidi kutambua michango wa wenzetu.
Ni kweli mkuu
Binafsi nawakubali wengi, lkn kuna mada fulani kuhusu ukimwi kule jamvi la jf doctor. Deception amebalisha akili yangu kabisa. Sasa situmii kondom tena kwa sababu ya hoja zake.

Hongera sana DECEPTION
 
mnyama ONTARIO namkubali sana kwa thread zake za kutia motisha juu ya maisha .
ONTARIO nmemkubali kwa kiasi chake maana kuna mada zake zimenigusa sana. Mkuu ONTARIO popote ulipo nmekuelewa hata mm. Unaweza kupangilia hoja zako. Sjakuweka katika list kwa sababu nmesoma mada zako tatu tu na bado nina mengi ya kujifunza kutoka kwako. Muda ukifka najua nitakupa heshima yako. Japo mpk sasa nmekuelewa na umenitia moyo sana Bado naendelea kukusoma.

Kuna huyu mdada anaitwa Heaven Sent huwa namuelewa sana. Anajua kutoa ushauri, kutia moyo na kufundisha neno la Mungu. Akiingia ktk mada inayohitaji ushauri huwa anaitendea haki.
 
Nguruvi3 kapotelea wapi!?
Heko mshana Jr
Heshima kwako Pasco wa jf
Nakusalimu Paschale Mayalla
 
Wengne unawakubal kwa kpaj chao cha Copy n paste. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sasa sisi tufanyeje? ebu sema basi au kama vipi toa na orodha ya usiowakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…