Members 'ninaowakubali' zaidi humu jf

Ni kweli mkuu
Binafsi nawakubali wengi, lkn kuna mada fulani kuhusu ukimwi kule jamvi la jf doctor. Deception amebalisha akili yangu kabisa. Sasa situmii kondom tena kwa sababu ya hoja zake.

Hongera sana DECEPTION
Safi,endelea tu kuchezea Afya yako.
 
Uuuh niseme nini mimi?... "Glory be to God".[emoji120] [emoji120]
 
Uko sawa kabisa, angalia hata likes unazopokea na ulizotoa, sema wewe ni mkweli, uko mbinafsi. Hongera.
Ha ha ha ! Mkuu kifaa ninachotumia kuingia jf hakinipi uhuru na nafasi ya kufanya mengi. Natumia Nokia Tochi
 
Ha ha ha ! Mkuu kifaa ninachotumia kuingia jf hakinipi uhuru na nafasi ya kufanya mengi. Natumia Nokia Tochi
Poa mkuu sio vibaya mwenyezi mungu alituumba tuwe tofauti na ndio maana mambo yanaenda, hatuwezi kuwa na tabia sawa, huo ndio ubinadamu.
Sema tunajitahidi tu kupunguza kidogo kidogo isiwe extreme maisha yanaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…