Members 'ninaowakubali' zaidi humu jf

Namkubali mme wangu Mshana Jr

Yani najivunia kupendwa na Mshana alafu ana madini balaaa huwa ananidrive crazy nikisoma post zakeee

Nakupendaaaa sana .
 
Nakuzooomm tu
 
Namkubali mme wangu Mshana Jr

Yani najivunia kupendwa na Mshana alafu ana madini balaaa huwa ananidrive crazy nikisoma post zakeee

Nakupendaaaa sana .
Usinisahau na mimi kunipenda, ni ruksa kupenda mtu zaidi ya mmoja[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Namkubali mme wangu Mshana Jr

Yani najivunia kupendwa na Mshana alafu ana madini balaaa huwa ananidrive crazy nikisoma post zakeee

Nakupendaaaa sana .
Mmmmmmmmwaaaaaaa charm decor wangu
 

Shemeji mahondaw hata kunipa pole πŸ™

Mods wameleta janga, wamempa BAN Honey wangu Money Penny . Sina raha kabisa. Bora kutekwa kuliko hizi BAN za JF. Zinaumiza. Wikendi kuwa ndefu sana hii.

Mhariri na timu yako, fanyeni hima mumfungulie Honey wangu Money Penny. Ujumbe mliokusudia kuufikisha umefika. Mmeona wenyewe jukwaa letu hili pendwa lilivyopoa na kupooza bila Money Penny. [HASHTAG]#Mfungulieni[/HASHTAG] Honey Money Penny. Imetosha.
 
Hahahahaha Pole sana shemlakee mi mwenyewe nishammiss dadalake mpaka naumwa hapa sijui watamfungulia lini jamani



Cc Smart911
 
Usinisahau na mimi kunipenda, ni ruksa kupenda mtu zaidi ya mmoja[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sjakusahau kabisa na weee kampany yakoo hapa jf ni balaaaaaaaaaa nilikuwa bado natype umeniwahi tu
 
Hahahahaha... Hivi Ile chambichambi ya juzi ndo source ya ban?? mmemiss sana jamani story imekwama akirud sijui atakumbuka alipoishia doh!



Cc Smart911

Unamjua dada'ako. Akifunguka anafunguka. Sasa alifunguka kinaga ubaga. Kufunguka kwake kumezua taharuki 😎😎😎. Ikaonekana amevuka border bila viza.

Nionavyo ni kama wamempa muda mzuri asuke ile simulizi, hapa Papaa, pale Aloyce, kule Anita mlokole, pale moneytalk ...halafu yeye mwenyewe Honey Money Penny ameshikilia kibeti chenye ndululu. Mipango ya mbali hii.

Upande wa pili kule ishapigwa 3SumCum halafu nyingine ya marudiano ishaandaliwa...sipati picha. Yaani zile predictions za mahondaw sijui kama zitatimia haraka hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…