Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Niwatakie heri ya Chrismas na afya tele.
Tufurahi lakini tusikose kumshukuru Mungu.
Mwaka huu nimepoteza rafiki zangu na ndugu wengi, hasa kwa covid.
Mimi nani nipo hata leo.
Itoshe kusema tumshukuru Mungu kuiona Xmas nyingine.
Nawawekea kibao cha miaka ya 70, Chrisma Oyee, Bonaneo!- Orchestra Maquiz