Members registration: CHACHAKUKUCOTA

Members registration: CHACHAKUKUCOTA

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
O yeh! wale wazee wa kuteleza kwenye lami peku peku, O yeh! kupiga sarakasi na taulo wakati hujavaa boxa, O yeh! kutembea juu ya makaa ya mawe ya moto peku peku, O yeh! namaanisha wale wazee wa kugegeda bila kutumia Condom.

Nikiwa mmoja wa aspirant wa kitendo hiki nimeona sasa tuwe chama chetu ambacho tutakuwa tunafanya shughuli zote za kichama kama chama cha hiari ikiwa pia kuwa na michango ya kila mwaka ambayo itaelekezwa moja kwa moja kuhudumia members ndani ya chama.

Benefits
. Kugaramia mazishi ya mwanachama pale itapothibitika kwamba amefariki kwa ugonjwa wa zinaa. (gharama zitakuwa limited kwenye kununua sanda na jeneza tu)
. Kufanya trainings juu ya possible ways za kwenda peku peku bila kukanyaga miwaya. Hapa tutafikiria kumwalika Jacob Zuma ambaye aliwahi kubaka mwanamke mwenye Ukimwi ambaye alikuwa rafiki wa bintiye pasi na kupata ukimwi maana anadai baada ya hapo alijiswafi na maji baridi. Nadhani atatueleza zaidi.
. Na benefits nyingine nyingi sana.

#Msichukulie-utani

Ni hii idea imekuja baada ya kugundua kuna watu wao wameshaconfirm kwamba wao Condom never ever, so why not having this? Tutajaribu kutafuta msaada na kupambana na Ukimwi in another way. (Neo-thinking in fighting HIV) Coz watu wameshasema hawataki kutumia Condom, so tuache kupambana na Ukimwi sababu watu hawataki kutumia condom? Nooo hapana. Hii inaweza kuwa alternative na ndo tunaanza hivi.

Tuta-frame agenda yetu kama chama then tutaanzisha campaign yetu #Neo-thinking-in-fighting-HIV na tutasambaza kwa international organizations zote watuelewe na sisi tutakuja na proposal zetu mpya kabisa za kupambana na Ukimwi.. ama nenee imetuliaaa

Jina la chama ni CHACHAKUKUCOTA

Chama Cha Kuto Kutumia Condom Tanzania

Na mwenyekiti ntakuwa ni mimi. So kindly kupitia comment show interest.

Mkuu Bavaria hope hujaipenda hii idea but najua utataka japo kupata position ama ya ukatibu wa hiki chama 🙂 The idea is shit but not $$$$
 
Katika kila Watanzania wanne basi mmoja ni................
 
Kadi yangu ya uanachama naomba isomeke No. 1. Ntakuwa mweka hazina wa chama.
 
Back
Top Bottom