Members useful Sana JF

Members useful Sana JF

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kila mtu angeambiwa ataje mentor wake wa hapa JF Mimi watu wangu ambao Wana mchango mkubwa Sana katika maisha yangu na nimeguswa Sana kwa namna walivyotupatia msaada kupitia thread na michango yao Ni
1.mshana jr.huyu nadhani ndio mtu ambaye mabandiko yake mengi yameathiri pakubwa sana saikolojia zetu.big up thank you brother ubarikiwe wanasema Imani Ni kuwa na dhamiri.nakuahidi nitafanya juhudi na neema ikiwa kubwa nitakuwa Bora zaidi ya wewe hio ndio maana ya dini.kwa mfano baba yako alitengeneza baiskeli, wewe ukatengeneza pikipiki,Mimi nitengeneze gari ili mwanangu aje atengeneze ndege.tunatakiwa tuboreshe dhamiri zetu kila zama tuje na muelekeo mpya.kuna thread yako moja naitafuta inasema MAMBO UNAYOTAKIWA KUFANYA KAMA KIJANA KABLA HUJAFIKISHA MIAKA 30.ile thread Niki isearch siipati.naomba link yake kwa niaba ya vijana tunaokukubali Sana katika ushauri wako
2.CHIEF-MKWAWA.Katika upande wa teknolojia nime receive ushauri mwingi Sana.michango yako yote imetufaidi ubarikiwe
Hao Mimi kwangu ndio Wana jf Bora kwa mwaka 2018.maana mwaka Jana umepita hatujataja mwana jf Bora wa mwaka.wako wengi tu kwa kila category
Kilukakacho yumo kwenye list yeye Ni masuala ya ndoa.mwafia ye Ni ingizo jipya mwanajf Bora pia sijajua nimpe category gani,Kuna wakina mapovu,wakina faizafoxy kwa upande wa lugha,wakina izzo kwa upande wa usafiri wa anga na usalama kwq ujumla,wakinA BARAFU kwa upande wa uzoefu na exposure kubwa ,wakina nkanga chief,wakina miss chagga,wakina karucee,wakina ndege JOHN upande wa miyeyusho
 
Wakuu, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu uzi....
Naomba kuwasilisha..[emoji30][emoji30]
tapatalk_1547552950903.jpeg
 
Back
Top Bottom